Maisha ni mazuri!

Ana A. de Eulate

Book - 2012

Je, unajua kwamba kuna twiga mwenye mabawa kwa kila mtu duniani, aliye tayari kukusaidia kuichunguza nchi yako, bara lako, ulimwengu wako ... lakini juu ya yote, moyo wako? Je, unajua? Je, umewahi kufikiria hilo? Hujawahi? Hii ni hadithi ya Violet, msichana mdogo mwenye macho mkubwa ambaye anaishi sehemu moja ya mbali huko Afrika, ambapo siku moja kitu cha ajabu kilimtokea. Ni Hadithi ya mshikamano, ukarimu na uzuri uliomo ndani yetu. Ni safari ndani ya moyo wa Afrika, na ndani ya nyoyo zetu sote zinazotufanya tuendelea kugundua yaliyomo ndani ya utoto wetu.

Saved in:
1 copy ordered
Subjects
Genres
picture books
Fiction
Juvenile works
Picture books
Livres d'images
Published
Madrid, Spain : Cuento de Luz [2012]
Language
Swahili
Spanish
Corporate Author
Calamo & Cran (Firm)
Main Author
Ana A. de Eulate (author)
Corporate Author
Calamo & Cran (Firm) (translator)
Other Authors
Nívola Uyá (illustrator)
Physical Description
1 volume (unpaged) : color illustrations ; 26 cm
ISBN
9788415619277
Contents unavailable.