Njinga wa Ndongo na Matamba

Ekiuwa Aire

eBook - 2023

Njinga wa Ndongo na Matamba ni hadithi ya kweli ya msichana ambaye alikuwa karibu kufa wakati wa kuzaliwa, lakini kwa namna fulani alishinda vikwazo vyote na akawa malkia wa falme mbili. Akiheshimiwa kwa hekima, ujasiri, na nguvu zake, Njinga alikua mmoja wa watu mashuhuri zaidi kisiasa nchini Angola miaka ya 1600.Kitabu hiki cha watoto chenye michoro mingi kinaeleza changamoto alizokabiliana nazo tangu siku aliyozaliwa. Ilibidi Njinga ashinde wivu wa kaka yake, kufiwa na baba yake, na uvamizi wa Wareno huku kipindi cha majaribu makubwa kilipoanza Africa.Hadithi hii ya matumaini na ujasiri inaonesha kuwa kila msichana mdogo ana uwezo mkubwa

Saved in:

Online Access

1/1 copies available

OverDrive Resource Page

Subjects
Published
Our Ancestories
Language
Swahili
Main Author
Ekiuwa Aire
Online Access
OverDrive Resource Page
Format
OverDrive Read eBook
OverDrive Read eBook
ISBN9781998041428
Release Date8/25/2023