Sunjata wa Himaya ya Mandé

Ekiuwa Aire

eBook - 2023

Ilikuwa imetabiriwa kuwa Sunjata angekuwa mfalme. Hata hivyo, wengi walitilia shaka ujuzi wa kutimiza unabii huo.Hadithi hii ni muundo wa shairi la aina yake ambalo limesimuliwa na washairi wa jali tangu karne ya 13. Inasimulia kuhusu mvulana mdogo aliyeshinda hali ya kutojiamini na kuwa muanzilishi wa dola ya Mandé, mojawapo ya himaya zenye utajiri zaidi kwenye historia ya Kiafrika na Mali.Hadithi ya Sunjata ni ya kuhusu uvumilivu, uthabiti, na kujitolea kwa ajili ya haki za watu.

Saved in:

Online Access

1/1 copies available

OverDrive Resource Page

Subjects
Published
Our Ancestories
Language
Swahili
Main Author
Ekiuwa Aire
Online Access
OverDrive Resource Page
Format
OverDrive Read eBook
OverDrive Read eBook
ISBN9781998041442
Release Date8/25/2023